Rais Samia arejea Zanzibar akitoka mkutano wa SADC Zimbambwe
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar akitokea Harare, Zimbabwe jana Jumamosi Agosti 17, 2024.