Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao walishiriki kwenye zoezi la medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani leo Ijumaa Agosti 23, 2024.