Mashemasi saba na mafrateri 21 wamepewa daraja la upadri na ushamasi mtawalia, katika misa takatifu iliyoongozwa na Askofu Ludovick Minde wa Jimbo Katoliki Moshi.
Misa hiyo ilifanyika katika Kanisa Kuu la Kristu Mfalme, mkoani Kilimanjaro, jana Agosti 1, 2024. Picha na Dionis Nyato