Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi, Agosti 1, 2024 amezindua Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam - Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali wameshiriki katika uzinduzi huo ikiwemo kusafiri na Rais Samia kutoka Dar es Salaam- Morogoro hadi Dodoma.