Picha Shida ya maji Sahwa Mwanza Jumatatu, Januari 08, 2024 Wakazi wa Mtaa wa Sahwa, jijini Mwanza wakiwa kwenye foleni ya kuchota maji katika eneo la barabara ya Balewa. Wananchi hao wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji ya bomba unaopelekea kutumia maji ya visimani. Picha na Kelvin Michael Photo: 1/1 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Daktari bingwa wa watoto Kibosho adaiwa kujiua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema chanzo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili.
PRIME Upande mwingine hatari kwa teksi mtandao Upo ushahidi wa waliowahi kuathiriwa na mazingira hayo na hatimaye wakashindwa kumpata dereva husika kwa kuwa akaunti haikuwa yake, kama inavyosimuliwa na Jesca Mrema, mkazi wa Sinza, jijini Dar...
Polepole alivyojiuzulu ubalozi, CCM yatia neno Polepole amethibitisha kwamba, barua hiyo inayosambaa mitandao ni yake na ameandika mwenyewe kujiuzulu katika nafasi hiyo.