Kikosi cha Simba kimeanza safari ya kwenda Morocco kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca,
Simba imeondoka nchini leo kwa ajili ya mchezo huo utakaochezwa Jumamosi Desemba 9, mwaka huu katika Uwanja wa Mohamed V saa 4:00 usiku.