Tamasha la Wiki ya Mwananchi linalofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku ikikadiliwa kuhudhuriwa na watu 60,000 ambapo Klabu ya Yanga hulitumia tamasha hilo kwa ajili ya kutambulisha rasmi wachezaji wao kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo. Tamasha hilo limeambatana na burudani mbalimbali zilizotolewa na wasanii maarufu nchini. Katika tamasha hilo Yanga inacheza mechi ya kirafiki na timu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia. Picha zote na Loveness Bernald