Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba akizungumza katika Kongamano la pili la Kukusanya maoni ya wadau kuhusu maboresho ya sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001, jijini Dar es Salaam, leo Januari 9, 2024. Picha na Michael Matemanga