Waumini wa dini ya Kiislamu wamepata fursa ya kusikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na masheikh kutoka nchi mbalimbali waliposhiriki kongamano la ujenzi wa kizazi lililofanyika jijini Dar es Salaam leo Agosti 11, 2024. Picha na Michael Matemanga