Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert wamefanya ziara ya mafunzo kwenye makao makuu ya ofisi za Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) zilizopo Tabata jijini Dar es Salaam leo Agosti 15, 2024. Lengo la ziara hiyo ni kujifunza namna ya kuandaa habari kwenye magazeti, mitandao ya kijamii na tovuti. Picha na Sunday George