Wasanii mbalimbali nchini wa muziki wa kizazi kipya, singeli, ngoma na taarabu wametoa burudani kwa maelfu ya wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Majimaji mjini Songea ulipofanyika mkutano wa hadhara wa hitimisho la ziara ya siku saba ya Rais Samia Suluhu mkoani Ruvuma leo Septemba 28, 2024. Picha na Edwin Mjwahuzi