Waziri Mabula akisoma makadirio, mapato na matumizi 2023/24
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/24 Alhamisi Mei 25,2023 bungeni jijini Dodoma. Picha na Merciful Munuo