Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (kulia) akipeana tano na Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Patrobas Katambi wakati wakijadiliana jambo walipohudhuria kikao cha nane cha mkutano wa sita wa Bunge, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi