Baadhi ya mashabiki wa soka wakiingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba itakayochezwa leo Jumamosi kuanzia saa 11 jioni.