Miili ya wanahabari watano na dereva wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza waliofariki katika ajali ya gari jana Januari 11 imewasili katika uwanja wa michezo wa Nyamagana tayari kwa ajili ya heshima za mwisho.