Baada ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kujiuzulu nafasi hiyo na kubaki ku Mbunge wa Jimbo la Kongwa, tunakuletea baadhi ya kauli alizowahi kuzitoa ndani na nje ya Bunge hadi alipofikia kumwomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan.