Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kikao kilichofanyika kati Chama hicho na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikishirikisha maofisa wa Serikali ni mwanzo mzuri wa kuendeleza maridhiano ya kisiasa, majadiliano na mapatano.