Mbunge Wa jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi ameshauri Serikali kusitisha kuagiza bidhaa kutoka nje ambazo zinaweza kutengenezwa hapa nchini.