PRIME Padri mwingine auawa kwa kumininiwa risasi akielekea ibadani Tukio la kuuawa kwa Padri Bett, limekuja siku chache tangu kuuawa kwa Padri Maina ambaye kifo chake kulihusishwa na masuala ya kisiasa.
PRIME Ushuzi wako afya yako, zijue faida kiafya za kunusa ushuzi wako Inaelezwa kuwa ushuzi wa kimya una afya zaidi kuliko ule unaoambatana na sauti mbalimbali, na kwamba ukiona hali hiyo nenda ukatibiwe.
Mwanaharakati Atuhaire akutwa mpakani mwa Uganda, Tanzania Viongozi hao walizuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) kabla ya kurudishwa nchini kwao.