Polepole alivyojiuzulu ubalozi, CCM yatia neno Polepole amethibitisha kwamba, barua hiyo inayosambaa mitandao ni yake na ameandika mwenyewe kujiuzulu katika nafasi hiyo.
Polisi yamshikilia kigogo mwingine wa Chadema Chadema kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mambo ya Nje na Diaspora, John Kitoka ilitoa taarifa kwa umma ikisema Magere alikamatiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam...
PRIME Kasi wanawake kuchepuka yapanda Marekani Kulingana na utafiti huo uliofanyika nchini Marekani unaonesha asilimia 20 ya wanaume walio kwenye ndoa na uhusiano rasmi wamekiri kuchepuka huku wanawake wakiwa asilimia 13.