Walichokisema watoto wa Dk Ndugulile kuhusu baba yao Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile unatarajiwa kuzikwa kesho Jumanne, Desemba 3, 2024 katika makaburi ya Mwongozo, Dar es Salaam. Ndugulile aliyezaliwa Machi 31, 1969...
Hivi ndivyo Nondo wa ACT Wazalendo alivyotekwa Dar Wakati tukio la Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana likiibua mjadala, Jeshi la Polisi limeelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea.
Mila, desturi kandamizi chanzo cha ukatili Dar es Salaam. Kila mwaka Novemba 25 hadi Desemba 10, dunia hujikita kwenye kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Ukatili huu unatajwa kuwaathiri wanawake na watoto ukilinganisha na...