Wafanyabiashara wa soko la Karume (Mchikichini) wamefunga barabara iliyopo karibu na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla wakishinikiza kuruhusiwa kuendelea kufanya biashara katika soko hilo lililoungua usiku wa kuamkia jana Jumapili.