Wasira ateuliwa kumrithi Kinana CCM Kwa sasa jina la Wasira litapigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sharifa Mwenyekiti mpya Bawacha, ambwaga mshindani wake Celestine Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Sharifa Suleiman ameshinda nafasi ya uenyekiti wa baraza hilo atakaloliongoza kwa miaka mitano ijayo.
PRIME Mbowe asimulia Lissu, Lema na Heche walivyomuumiza Chadema Mbowe ni miongoni mwa wagombea watatu wanaowania uenyekiti wa Chadema akiwamo makamu wake bara, Tundu Lissu na Charles Odero.