PRIME Ushindi wa Trump una tafsiri nyingi kwa Afrika Wamarekani wameonekana kuvutiwa zaidi na sera ya Trump ya tangu uchaguzi wa mwaka 2016 ya MAGA -Make America Great Again (ikimaanisha kurejesha ukuu wa Marekani duniani), suala ambalo ni kilio...
Trump ajitangazia ushindi, kura zaendelea kuhesabiwa Mgombea urais wa Republican, Donald Trump amejitangazia ushindi katika uchaguzi wa Marekani alipokuwa akiwahutubia wafuasi wake waliojawa furaha huko Florida wakati kura katika majimbo muhimu...
Trump aukaribia ushindi Marekani Mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Dobald Trump ameshinda katika majimbo mawili muhimu ya North Carolina na Georgia, hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya ushindi.