PRIME Mfahamu Wasira anayevaa viatu vya Kinana CCM Wasira alianza siasa akiwa na miaka 25, alipoteuliwa kuwa mbunge wa Mwibara mwaka 1970.
Wasira ateuliwa kumrithi Kinana CCM Kwa sasa jina la Wasira litapigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sharifa Mwenyekiti mpya Bawacha, ambwaga mshindani wake Celestine Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Sharifa Suleiman ameshinda nafasi ya uenyekiti wa baraza hilo atakaloliongoza kwa miaka mitano ijayo.