Mbowe atinga uzinduzi wa Dira 2050 Dodoma Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameibukia kwenye uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025-2050.
Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi 10 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea na mkakati wake wa kuimarisha utendaji serikalini baada ya kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi na mamlaka za umma.
Askofu Gwajima: Nitaendelea kubaki CCM ila sitaogopa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema yeye ataendelea kuwa mwanachama wa chama hicho na wala hana mpango wa kukihama.