Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limesema chanzo cha ajali iliyotokea leo wilayani Busega mkoani Simiyu na kusababisha vifo vya watu 14 ni mwendokasi.