Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wasani wa muziki nchini kupendana na kuacha kuparurana ili kuendeleza tasnia hiyo na kuliunganisha Taiafa.