Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa mahakamani leo kwa mara ya kwanza bila kuwa na wenzake wanne ambao Septemba 6 waliachiliwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.