Video VIDEO: Ahukumiwa kwenda jela miaka 15 kwa kumkata mumewe sehemu za siri Alhamisi, Novemba 24, 2022
Dhamana ya ‘Boni Yai’ yadunda, asota rumande Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Polisi walivyotinga kupekua nyumbani kwa Boni Yai Msafara wa magari ya polisi uliombeba aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Bon Yai’ ukiwasili nyumbani kwake Mbezi Msakuzi kwa ajili ya upekuzi.
Polisi yakiri kumshikilia 'Boni Yai', kupekuliwa nyumbani kwake Jeshi la Polisi limekiri kumshikilia aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob 'Boni Yai', huku likitaka taarifa za kutekwa kwake zipuuzwe.