Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka viongozi wa Serikali kuzima magari yao wanaposhuka badala ya kuyaacha kwa muda mrefu yakiwa yanaendelea kunguruma huku wao wakiwa wanaendelea na shughuli zingine.