Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuua aliyekuwa muuguzi mstaafu wa Hospitali ya rufaa ya KCMC, Patricia Paul (66).