PRIME Upatanishi Chadema ni muhimu kama uji na mgonjwa Katika uchaguzi wa Chadema ambao kwa mtu yeyote mwenye akili atakubaliana na mimi kuwa umeacha majeraha makubwa, Tundu Lissu alichaguliwa kuwa Mwenyekiti kuchukua nafasi ya Freeman Mbowe...
PRIME Lissu atoa mwelekeo mpya Chadema Katika hotuba yake, Lissu amegusia masuala mbalimbali ambayo uongozi wake utayasimamia ikiwamo kushusha madaraka na kuweka ukomo wa uongozi.
PRIME VIDEO: Huyu ndiye Tundu Lissu, mwenyekiti mpya wa Chadema Mbowe amekuwa wa kwanza kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.