PRIME Dk Nchimbi mgombea mwenza urais CCM, hii hapa historia yake Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi...
PRIME Dk Nchimbi atajwa turufu kwa CCM Uchaguzi Mkuu Hatua ya mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan kumteua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
CCM yatangaza muundo mpya wa wajumbe, uteuzi wa wagombea Hatua ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufanya mabadiliko ya Katiba yao huenda ikazua maumivu kwa wagombea ubunge na udiwani.
Mtoto aliyeibwa Januari 15 apatikana kwenye mashamba ya miwa Mtoto huyo aligunduliwa na wasamaria wema waliokuwa wakipita katika mashamba hayo.
Wenyeviti 21 wa Chadema watangaza kumuunga mkono Lissu Wakizungumza leo Jumapili Januari 19, 2025 jijini Dar es Salaam kwa niaba ya wenzao, viongozi hao wamesema Lissu anavutia wananchi kutokana na mvuto wake na sera zake zinazolenga mabadiliko ya...
Askofu Lema awekwa wakfu KKKT, atwishwa mambo sita Hafla ya kumuweka wakfu kiongozi huyo wa kiroho imefanyika kwa kuzingatia Sheria namba 11 (1) (a) na Kanuni ya 21 ya Katiba ya Kanisa la KKKT.
Utunzaji wa mifumo ya ikolojia unavyoziwezesha jamii kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Chadema yapitisha 23 kuwania ujumbe Kamati Kuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu.
Wenye ulemavu watoa neno uandikishaji wapigakura Maryam Kkhamis amesema kuna haja kwa tume kuyasimamia makundi ya watu wenye mahitaji maalumu ili wajiandikishe kwa wepesi kwenye daftari hilo, ili kupata haki yao ya kikatiba kushiriki katika...
PRIME Saa 48 za lala salama uchaguzi Chadema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinakwenda kuhitimisha mvutano wa nani zaidi kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri shughuli za kampuni za simu Teknolojia ya kidijitali ilikuwa miongoni mwa mada kuu katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 2023, COP29, ambapo viongozi wa dunia walijadili athari za ukuaji wa...
Simba yamzima Mwarabu bila mashabiki Simba imetoa darasa tamu kwa watani wao wa jadi, Yanga baada ya jioni ya leo kushinda mabao 2-0 mbele ya CS Constantine ya Algeria, licha ya kucheza bila ya mashabiki kutokana na kutumikia adhabu...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
ANKO KITIME: Pepe Kale aliwahi kupiga muziki Njombe na Buguruni Wiki iliyopita nilianza kwa kuhadithia mkasa wa Diblo Dibala katikati ghafla jina likabadilika na kuwa Dally Kimoko hii ilifanyika kimakosa, usahihi ni kuwa mkasa ule ulimhusu Diblo Dibala na...
TUONGEE KIUME: Mabinti wa kizazi hiki wanahitaji maombi Binti mmoja aliandika kwenye mtandao wa kijamii akilalamika kwamba, kuna rafiki yake wa kiume, ni rafiki, siyo wapenzi, alimtafuta na kumuomba waende kutembea mbuga za wanyama wikiendi moja.
PRIME Njia 10 za kumuadabisha mtoto Katika kila jambo unalofanya kwa watoto wako, iwe ni kwa maneno au vitendo, elewa kwamba lengo kuu ni kuwafundisha na kuwasaidia kuelewa.