KESI YA LEMA: Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kutoka kushoto ni mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Vincent Mashinji wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha jana kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema. Picha na Filbert Rweyemamu