MAKONDA AIBUKA: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akikata utepe kuzindua barabara ya Shimo la Udongo-EPZ, Kurasini, Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni mkuu wa wilaya hiyo, Felix Lyaniva na Kulia ni meneja wa operesheni wa Kampuni ya Grand Tech Tanzania Limited, Masito Masingo. Na Mpiga Picha Wetu