Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akionyesha moja kati ya magari manne ya kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu yatakayotumika kusafirishia dawa yaliyotolewa kwa Serikali na Shirika la Afya Duniani (WHO) jijini Dar es Salaam jana. Wa kwanza kushoto ni kaimu mwakilishi mkazi wa shirika hilo, Dk Richard Banda. Picha na Anthony Siame