AHADI: Mwenyekiti wa Mtaa wa Igelegele, Dankan Nyamgocho (kushoto) akinyang’anywa kipaza sauti kwa amri ya Meya wa Jiji la Mwanza ambaye pia ni Diwani wa Mahina, James Bwire, baada ya mwenyekiti huyo kuhoji kutotekelezwa ahadi za diwani huyo mtaani kwake ikiwamo kuwa na barabara na maji ya uhakika, wakati wa mkutano hadhara uliofanyika kwenye Uwanja cha Shule ya Sekondari Mahina, juzi. Picha na Michael Jamson