Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama akiwasilisha bungeni muswada wa marekebisho ya sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wa mwaka 2017, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi