Mkurugenzi wa kampuni ya Mawasiliano ya Six Telecom ltd Ringo Tenga akiwa na wenzake wakingia katika chumba cha mahakama ya hakim mkazi Kisutu kusomewa shitaka lao katika kesi ya kuhujumu uchumi kesi hiyo imeahirishwa mpaka tarehe 26/01/2018 kurudishwa gerezani. Picha na Omar Fungo