Mbunge wa Iringa Mjini, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Peter Msigwa (kulia), Mwenyekiti Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga (kushoto) wakitetea jambo ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi-Mbeya, jana asubuhi kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi Sugu na Masonga mahakamani hapo. Picha na Godfrey Kahango.