KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo Cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere linalofanyika katika Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni jijini Dar es Salaam leo. Picha na Anthony Siame
Photo: 1/4
Mama Fatma Karume akitambulishwa katika Kongamano hilo la kumbukizi ya Miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa Julius Nyerere
Photo: 2/4
Washiriki wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere linalofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni jijini Dar es Salaam. Picha na Anthony Siame