UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, ZOEZI LA UANDIKISHWAJI
Wananchi wa kitongoji Cha Kanyansonga Kijiji Cha Kasisa kata ya Kasisa Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye kituo Cha kuandikishaji wa mpiga kura zoezi liloanza leo .Picha na Daniel Makaka