Mwananchama wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akionyesha fomu ya kuwania nafasi ya Kiongozi wa Chama baada ya kukabidhiwa na Mratibu wa Uchaguzi, Risasi Semasaba katika makao makuu ya Chama hicho Kijitonyama jijini, Dar es Salaam leo. Picha na Anthony Siame