Picha MOTO WAUNGUZA SOKO LA TEGETA NYUKI Jumanne, Februari 18, 2020 — updated on Novemba 08, 2020 Moto ulionza kuwaka usiku wa kuamkia leo katika soko la matunda na nafaka Tegeta nyuki limeteketeza fremu 14 na vizimba 81. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Jeshi la zimamoto mkoa wa kinondoni likiendelea na uzimaji wa moto katika soko la nataka na matunda tegeta nyuki. Photo: 3/4 View caption Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la Tegeta nyuki wakijaribu kuchambua mabaki ya nafaka kutokana na moto uliowaka usiku wa kuamkia leo. Photo: 4/4 View caption Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus. Join the discussion Login with your Nation account Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya