Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi Josephat Kandege aliyeshika kipimo cha kipimia mafuta maafuru upimaji wa Vibaba wakati alipowatembelea na kuona shughuli wanazofanya Vijana wa kikundi cha Umoja wa mafundi wa eneo la Makoroboi Jijini Mwanza.Picha na Johari Shani