Chunya watimiza ahadi ya Rais Samia, Sh3 bilioni kujenga stendi ya kisasa
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, imesaini mkataba wa zaidi ya Sh3 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu...