Search

194 results for William Shao :

  1. PRIME Mfahamu Bassirou Faye, mfungwa huru aliyeshinda urais Senegal

    Faye alizaliwa Jumanne ya Machi 25, huko Ndiaganiao, Senegal. Mwaka 2000 alipata shahada ya uzamili katika sheria na baadaye alijiunga na Chuo cha Taifa cha Utawala (ENA) na kuhitimu mwaka 2004.

  2. Kashkashi alizopitia mpinzani wa Rais Putin, utata wa kifo chake

    Miaka minne iliyopita Alexei Navalny aliulizwa nini angewaambia raia wa Russia, ikiwa atauawa kwa kumpinga Rais Vladimir Putin.

  3. PRIME Serikali lawamani matumizi ya 'energy drinks'

    Kushindwa kuweka sera madhubuti na kudhibiti utumiaji holela ya vinywaji vikali na vile vya kuongeza nguvu maarufu kama energy drinks, kumetajwa ni chanzo cha kukithiri na hatimaye madhara kwenye...

  4. PRIME Mzee Ruksa: Maisha na siasa za Tanzania

    Maisha ya Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Mei 8, 1925, yamehitimishwa baada ya kifo chake kilichotokea jana Februari 29, 2024.

  5. Miaka 60 ya mapinduzi; tulikotoka, tulipo na tunakokwenda

    Kwa zaidi ya miaka 300 ya utawala wa ukoloni katika visiwa vya Zanzibar hadi kufikia mwaka 1964, watoto wa wanyonge walikuwa hawapati nafasi ya kusoma.

  6. Kwa nini Julius Nyerere alijiuzulu uwaziri mkuu

    Mwalimu Julius Nyerere alipoteuliwa kuwa Waziri Kiongozi wa Tanganyika Mei 1, 1961, alidumu katika wadhifa huo kwa siku 241 tu hadi alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika, Desemba 9, 1961...

  7. Safari ya Nyerere, kutoka Waziri Kiongozi hadi Waziri Mkuu

    Baada ya Chama cha Tanganyika African National Union (Tanu) kushinda uchaguzi na kupata idadi kubwa ya wajumbe katika Baraza la Kutunga Sheria, Mwalimu Julius Nyerere aliteuliwa na Gavana Richard...

  8. Waziri kiongozi aunda baraza la mawaziri-2

    Kuelekea maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika gazeti hili linakuletea mfululizo wa makala za kumbukumbu za tukio hilo muhimu kwa historia ya nchi yetu.

  9. Hatua kwa hatua jitihada kupata Uhuru wa Tanganyika

    Desemba 9 mwaka huu, Tanzania inatimiza miaka 62 tangu ipate Uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Uingereza.

  10. PRIME Dk Salim alivyong’ara katika anga za kimataifa

    Dk Salim Ahmed Salim, ambaye amefanya kazi ndani na nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 50, amefanya mambo mengi ambayo ni viongozi wachache wanaweza kuyafikia.

Page 1 of 20

Next