Zitto Kabwe: Tunahitaji dhamira safi kisiasa, uchaguzi ulio huru na haki Zitto pia amekumbusha kuhusu mapendekezo ya kuanzishwa kwa Tume ya Uangalizi wa Utendaji wa Jeshi la Polisi na Haki Jinai, akibainisha kuwa kwa sasa jeshi hilo limepoteza uaminifu kwa wananchi.
Zitto achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Kigoma Mjini Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT - Wazalendo Taifa, Zitto Kabwe amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake kugombea ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
CUF nao wajitosa kuwakaribisha wanachama wa Chadema Imebaki kwa watia nia wa Chadema, kuamua ni jukwaa gani la kisiasa wanaweza kulitumia ili kutimiza malengo yao ya kugombea nafasi za ubunge, baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuungana na vyama...
ACT Wazalendo ilivyojipanga kuvuna wanachama wapya Wakati kukiwa na wanasiasa waliopo njiapanda kutokana na misimamo ya vyama vyao, ACT Wazalendo imejipanga kuwapokea wote.
Zitto: Msivunje madirisha, mnaotaka kuja ACT Wazalendo milango ipo wazi Kiongozi wa zamani wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewakaribisha wanasiasa wanaotaka kufanya siasa, akisema milango ipo wazi kujiunga na chama hicho.
PRIME KONA YA MALOTO: G55 wanamgomea Lissu, Chadema wanakisaka kivuli cha Mbowe Mguu uliomwingiza Tundu Lissu kwenye hatamu Chadema, ndiyo uliomwondoa Freeman Mbowe. Mdomo uliopukutisha imani ya wana-Chadema kwa Mbowe, ndiyo uliomsafishia njia Lissu.
PRIME Siku saba za mtifuano wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu Wakati Chadema na CCM vikiendelea kurushiana maneno majimboni, ACT Wazalendo kimesema kipaumbele chake kwa sasa ni kupigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na kurejesha thamani ya kura ya kila...
Viongozi wajitokeza mazishi ya Balozi Mwapachu Tanga Shughuli za mazishi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu, zimeanza nyumbani kwa baba yake, maeneo ya Chumbageni jijini Tanga, huku viongozi mbalimbali...
ACT Wazalendo sasa kupigania mageuzi mifumo ya uchaguzi Vuguvugu la mageuzi ya mifumo ya uchaguzi ikiwemo sheria na kanuni za uendeshaji limezidi kupamba moto. Tayari, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiendelea na kampeni yake ya No...
PRIME UCHAMBUZI WA MJEMA: Hawa ndio maadui watatu wa Chadema uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umemalizika lakini ukweli ni kuwa kuna usaliti wa chini kwa chini na wazi wazi unaendelea kukitafuna chama hicho kikuu...