Kamati ya Bunge yacharuka, yataka makandarasi wazembe wanyimwe miradi
Mwenyekiti wa Kamati ya PIC, Deus Sangu amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha REA wanasimamia vyema jukumu la kuhakikisha nishati ya umeme inafika katika vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara...